Sunday, March 11, 2018

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI NJEMA SANA

UJUMBE WA LEO:- Katika maisha ni muhimu kuuliza pale unapokuwa na dukuduku  Udadisi  una maana yake.

2 comments:

ray njau said...

Asante sana!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana nawe pia kwa kunitia moyo...maana wajua kublog ni kutiana moyo....